Aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama, awamiminia sifa Eliud Kipchoge na Brigid Kosgei
- Mnamo Jumamosi, Oktoba 12, Eliud Kipchoge alifaulu kuwa binadamu wa kwanza kukamilisha mbio za marathon chini ya saa mbili - Mnamo Jumapili, Oktoba 13, Brigid Kosgei alivunja rekodi ya dunia baada ya kushinda mbio za wanawake jijini Chicago